TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA KUMI NA MOJA (11) – SIFACU LTD

TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA KUMI NA MOJA (11)

Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Mkoa wa Singida (SIFACU LTD)


Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Mkoa wa Singida (SIFACU LTD) anawatangazia wanachama wote kuwa Mkutano Mkuu wa Kumi na Moja (11) utafanyika kama ifuatavyo:

πŸ“… Tarehe

24 Machi 2026

πŸ“ Ukumbi

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

⏰ Muda

Saa 3:00 Asubuhi

Wanachama wote wanahimizwa kuhudhuria mkutano huu muhimu ili kujadili maendeleo ya chama, mafanikio yaliyopatikana, changamoto zilizopo pamoja na mikakati ya kuimarisha ustawi wa wanachama.

Ushirika Pamoja Tujenge Uchumi

tangazo000

Leave a Comment