Heri ya Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi • Labour Day
Heri ya Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi • Labour Day Kwa niaba ya Menejimenti na Bodi ya Chama, tunawatakia heri ya Siku ya Wafanyakazi. Tunathamini mchango wako kila siku. Kazi yako ndiyo msingi wa maendeleo ya ushirika na uchumi wa wakulima. Kazi iendelee, Ushirika uendelee, Maendeleo yaendelee. Ushirikiano Nguzu ya








