Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Singida (SIFACU LTD) kinawatakia wanachama wote, wadau na familia zenu Krismasi Njema iliyojaa amani, upendo na furaha. Tunawatakia pia Mwaka Mpya wenye afya njema, mafanikio na baraka tele. “Ushirika Pamoja Tujenge Uchumi”
25 December 2025