Heri ya Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi • Labour Day

Heri ya Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi • Labour Day Kwa niaba ya Menejimenti na Bodi ya Chama, tunawatakia heri ya Siku ya Wafanyakazi. Tunathamini mchango wako kila siku. Kazi yako ndiyo msingi wa maendeleo ya ushirika na uchumi wa wakulima. Kazi iendelee, Ushirika uendelee, Maendeleo yaendelee. Ushirikiano Nguzu ya

Read More

TANGAZO LA ZABUNI

📢 TANGAZO LA ZABUNI – SIFACU LTD SIFACU Ltd inatangaza zabuni kwa msimu wa 2026/2027. Utunzaji na Uendeshaji wa Maghala Huduma ya Usafirishaji wa Mazao Ugavi wa Vifaa vya Vifungashio Deadline: 24 Februari, 2026 saa 7:30 mchana Soma Tangazo Kamili ZABUNI TANGAZO File size: 134.33 KB Created: 20-02-2026 Updated: 20-02-2026

Read More

HERI YA KRISMASS NA MWAKA MPYA

Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Singida (SIFACU LTD) kinawatakia wanachama wote, wadau na familia zenu Krismasi Njema iliyojaa amani, upendo na furaha. Tunawatakia pia Mwaka Mpya wenye afya njema, mafanikio na baraka tele. “Ushirika Pamoja Tujenge Uchumi”

Read More

CHONGOLO AAGIZA BIMA YA USHIRIKA KUANZISHWA

HABARI: Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) na Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO), zimetakiwa kufanya kazi kwa kushirikiana na kuhakikisha ushirika unaimarika ikiwa ni pamoja na kuanzisha bima ya ushirika (COOP Insurance) na ukaguzi wa maendeleo ya vyama vya ushirika. Wito huo umetolewa na Waziri

Read More

SIFACU Celebrates Customer Service Week in Style

SIFACU joined organizations worldwide in celebrating Customer Service Week, recognizing the vital role that customer service plays in organizational success. To mark the occasion, team members gathered to reflect on the theme #MissionPossible, reaffirming their commitment to excellence, teamwork, and delivering outstanding service experiences. The celebration featured a beautifully decorated

Read More