Heri ya Siku ya Wafanyakazi
Mei Mosi • Labour Day
Kwa niaba ya Menejimenti na Bodi ya Chama, tunawatakia heri ya Siku ya Wafanyakazi.
Tunathamini mchango wako kila siku. Kazi yako ndiyo msingi wa maendeleo ya ushirika na uchumi wa wakulima.
Kazi iendelee, Ushirika uendelee, Maendeleo yaendelee.
Ushirikiano
Nguzu ya pamoja inaleta mafanikio ya kweli.
Bidii
Kila jitihada ina mchango kwenye maendeleo ya ushirika.
Maendeleo
Kilimo chenye tija kinaimarisha maisha ya wanachama.
Singida, Tanzania | Tel: +255 744 256 768
www.sifacu.or.tz | info@sifacu.or.tz
Bomani, Mughanga Ward, P.O Box 123, Singida
